Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Vyombo vya habari vya Israel vilieleza kuwa Jeshi la Israel limepungukiwa na nguvu ya Cyber Attack na hii hatari kwa Tel Aviv.
Viongozi wa Jeshi la Israel wa wamejibika kukusanya Vijana
waerevu na wabobezi wa Computer Duniani ili kukabiliana na udhaifu ulokuwa nao
Tel Aviv katika Cyber Attack.
Imekadiriwa kuwa bageti ya Cyber Attack imefikia Milioni 529
$ ili kufaanikisha suala hili katika miaka ijayo.
Israel na Marekani ni moja katika nchi maarufu za Cyber
Attack na wanatuhuma kadhaa katika baadhi ya nchi za mashariki ya kati na
kaskazini mwa Afrika.
Uvamizi wa kwanza wa Cyber Attack ulifanywa mwaka 2009 na Israel kupeleleza vino
vya Nyuklia vya Iran.